Kwanini prsha yangu haitaki kukasawa

Kwanini prsha yangu haitaki kukasawa

Jiunge nasi WhatsApp
Upate Update zetu

Kwanini prsha yangu haitaki kukasawa

Kwanini prsha yangu haitaki kukasawa wakati numepewa dawa uyamwezimmoja



Namba ya swali 022

Ni ya kupanda ama kushuka?



Namba ya swali 022

Ni ya kupanda



Namba ya swali 022

Hakikisha unafata maelekezo vyema. Pia epuka kula vyakula kama vyenye chumvi nyingi, Punguza unywaji wa pombe na sigara kama unatumia, Punguza misongo ya mawazo kama unayo. Pia fanya mazoezi. Kujuwa zaidi kuhusu presha ya kupanda Bofya hapaa



Namba ya swali 022

Nashukuru



Namba ya swali 022

Karibu tena



Namba ya swali 022

Download Post hii hapa

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: magonjwa Main: Afya File: Download PDF Views 729

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
๐Ÿ‘‰1 kitabu cha Simulizi    ๐Ÿ‘‰2 Simulizi za Hadithi Audio    ๐Ÿ‘‰3 Madrasa kiganjani    ๐Ÿ‘‰4 Kitabu cha Afya    ๐Ÿ‘‰5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    ๐Ÿ‘‰6 Bongolite - Game zone - Play free game   

Post zinazofanana:

Matatizo ya unene kwa watoto (childhood obesity)
Matatizo ya unene kwa watoto (childhood obesity)

post Ina onyesha madhara na matatizo ya Unene Utoto ni hali mbaya ya kiafya inayoathiri watoto na vijana. Inatokea wakati mtoto yuko juu ya uzito wa kawaida kwa umri na urefu wake

Soma Zaidi...
Vyanzo vya sumu mwilini.
Vyanzo vya sumu mwilini.

Posti hii inahusu zaidi vyanzo vya kuwepo kwa sumu mwilini, kwa sababu kuna wakati mwingine tunapata magonjwa na matatizo mbalimbali ya ki afya tunaangaika huku na huko kumbe sababu kubwa ni kuwepo kwa sumu mwilini na vyanzo vya sumu hiyo ni kama ifuatavy

Soma Zaidi...
Madhara ya maumivu kwenye nyonga na kiuno.
Madhara ya maumivu kwenye nyonga na kiuno.

Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea ikiwa matibabu kwenye nyonga na kiuno hayatafanyika.

Soma Zaidi...
Maumivu ya tumbo kitovuni
Maumivu ya tumbo kitovuni

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu maumivu ya tumbo kitovuni

Soma Zaidi...
Ugonjwa wa  Malengelenge sehemu za siri
Ugonjwa wa Malengelenge sehemu za siri

Malengelenge sehemu za siri ni maambukizi ya kawaida ya zinaa ambayo huathiri wanaume na wanawake. Makala ya malengelenge sehemu za siri ni pamoja na maumivu, kuwasha na vidonda katika sehemu yako ya uzazi. Lakini huenda usiwe na dalili au ishara za mal

Soma Zaidi...
Dalili za fangasi wa sehemu za Siri kwa wanaume
Dalili za fangasi wa sehemu za Siri kwa wanaume

Posti hii inakwenda kukuletea dalili za fangasi wa sehemu za Siri kwa wanaume

Soma Zaidi...
Sababu za Ugonjwa wa Shinikizo la juu la Damu.
Sababu za Ugonjwa wa Shinikizo la juu la Damu.

Shinikizo la juu la damu ni hali ya kawaida ambapo nguvu ya muda mrefu ya damu dhidi ya kuta za ateri yako ni kubwa vya kutosha hivi kwamba inaweza kusababisha matatizo ya kiafya, kama vileร‚ย Ugonjwa wa Moyo.

Soma Zaidi...
Hatua tatu anazozipitia mgonjwa wa tauni
Hatua tatu anazozipitia mgonjwa wa tauni

Posti hii inahusu zaidi njia au hatua tatu muhimu anazopitia Mgonjwa wa gauni, kuanzia kwa Maambukizi mpaka kwenye hatua ya mwisho hasa kama Ugonjwa huu haujatibiwa mapema.

Soma Zaidi...
Dalili za saratani ya kibofu Cha nyongo
Dalili za saratani ya kibofu Cha nyongo

Saratani ya kibofu cha nyongo ni Saratani inayoanzia kwenye kibofu cha nyongo. Nyongo yako ni kiungo kidogo, chenye umbo la peari upande wa kulia wa tumbo lako, chini ya ini lako. Kibofu cha nyongo huhifadhi nyongo, Kioevu cha usaga

Soma Zaidi...
Namna ya kuzuia maambukizi kwenye nephroni
Namna ya kuzuia maambukizi kwenye nephroni

Post hii inahusu zaidi namna ya kuzuia maambukizi kwenye nephroni, ni njia zinazotumika kuzuia maambukizi kwenye nephroni

Soma Zaidi...