MARADHI MENGINE 10 YANAYOTOKANA NA MBU ( matende, ngirimaji, homa ya manjano, n.k

MARADHI MENGINE 10 YANAYOTOKANA NA MBU ( matende, ngirimaji, homa ya manjano, n.k

Tofauti na maradhi yaliyotajwa hapo juu pia tafiti za kisayansi zimethibitisha kuwepo kwa maradhi mengine hatari yanayosambazwa na mbu, kama vile ngirimaji pamoja na matende.

Jiunge nasi WhatsApp
Upate Update zetu

MARADHI MENGINE 10 YANAYOTOKANA NA MBU ( matende, ngirimaji, homa ya manjano, n.k

Magonjwa mengine ni:-

Tofauti na maradhi yaliyotajwa hapo juu pia tafiti za kisayansi zimethibitisha kuwepo kwa maradhi mengine hatari yanayosambazwa na mbu, kama vile ngirimaji pamoja na matende. Karibia watu wengi wanaoishi maeneo yenye joto watakuwa wameshuhudia namna ambavyo ngiri ilivyo. Sambamba na ngiri maji na matende yapo maradhi mengine 8 ambayo huenezwa na mbu. Maradhi hayo ni:-

  1. homa ya manjano
  2. Heartworm
  3. Western Equine Encephalitis (WEEV)
  4. Louis Encephalitis (SLEV)
  5. La Crosse Encephalitis (LACV)
  6. Japanese Encephalitis Virus (JEV)
  7. Eastern Equine Encephalitis (EEEV)
  8. Western Nile virus (WNV)
  9. Matende
  10. Ngiri maji

 



                   

Download Post hii hapa

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: magonjwa Main: Afya File: Download PDF Views 961

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya    👉2 Kitau cha Fiqh    👉3 kitabu cha Simulizi    👉4 Bongolite - Game zone - Play free game    👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉6 Simulizi za Hadithi Audio   

Post zinazofanana:

Ujue Ugonjwa wa homa ya ini yenye sumu.
Ujue Ugonjwa wa homa ya ini yenye sumu.

Homa ya ini yenye sumu ni kuvimba kwa ini lako kutokana na kuathiriwa na vitu fulani ambavyo umeathiriwa navyo. Homa ya ini yenye sumu inaweza kusababishwa na pombe, kemikali, dawa za kulevya au viongeza vya lishe.

Soma Zaidi...
Sababu  za  kuvimba na maumivu kwenye korodani moja au zote mbili
Sababu za kuvimba na maumivu kwenye korodani moja au zote mbili

Post yetu ya Leo inaenda kutufundisha kuhusiana na uvimbe wa korodani moja au ambayo kitaalamu huitwa EPIDIDYMITIS. EPIDIDYMITIS ni ugonjwa unaoathiri mfumo wa kiume wa uzazi. Epididymis ni mrija (tube) uliyoko nyuma ya korodani ambayo mbegu za kiume

Soma Zaidi...
Msaada kwa aliye na uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo.
Msaada kwa aliye na uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo.

Posti hii inahusu zaidi msaada kwa aliye na uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo, ni huduma maalumu ambayo utolewa kwa mtu ambaye ana uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo. Zifuatazo ni huduma maalumu kwa mwenye uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo.

Soma Zaidi...
dondoo 100
dondoo 100

Basi tambua haya;- 1.

Soma Zaidi...
Ndugu  mke Wang viungo vina mlegea miguu inamuaka moto nn tatozo
Ndugu mke Wang viungo vina mlegea miguu inamuaka moto nn tatozo

Je unasumbuliwa na tatizo la kukosa nguvu, kuchoka ama kuhisi viungi vinelegea. Endelea na post hii.

Soma Zaidi...
Sababu za Maumivu ya shingo
Sababu za Maumivu ya shingo

Posti hii inazungumzia kuhusiana na maumivu ya shingo na ndani yake kunasababu zinazopelekea shingo kupata maumivu.

Soma Zaidi...
Madhara ya kaswende kwa wajawazito na watoto wadogo.
Madhara ya kaswende kwa wajawazito na watoto wadogo.

Posti inahusu zaidi madhara ya kaswende kwa mama mjamzito na mtoto, Ni ugonjwa unaopatikana hasa kwa njia ya kujamiiana na utoka kwa mwenye Ugonjwa kwenda kwa mtu ambaye hana ugonjwa, kwa hiyo tunapaswa kujua madhara ya ugonjwa huu kwa mama mjamzito na mt

Soma Zaidi...
Ujuwe ugonjwa wa ebola,  dalili zake na jinsi unavyoweza kusambazwa.
Ujuwe ugonjwa wa ebola, dalili zake na jinsi unavyoweza kusambazwa.

Posti hii inahusu sana kuhusu ugonjwa wa ebora. Ugonjwa huu usababishwa na virusi.Virusi hivyo husababisha kutokwa na damu nyingi mwilini kutokana na kupasuka kwa mishipa ya damu

Soma Zaidi...
Fahamu kuhusu Ugonjwa wa pre - eclampsia
Fahamu kuhusu Ugonjwa wa pre - eclampsia

Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa pre- eclampsia ni Ugonjwa ambao uwapata wanawake wajawazito uwapata pale mimba inapofikisha umri wa wiki ishilini, utokea pale ambapo Mama mjamzito huwa na kiwango kikubwa cha shinikizo la damu na pia kuwepo kwa protini

Soma Zaidi...
Je pumu inaweza kusababishwa na virusi ama bakteria?
Je pumu inaweza kusababishwa na virusi ama bakteria?

Hapa utakwenda kujifunza jinsi ambavyo pumu inaweza kuwa na mahusiano kwa kuwepo kwa aina flani ya bakteria ama virusi.

Soma Zaidi...