picha

Waliomshambulia na kumuuwa Ali, makhawariji na si muawiya

Waliomshambulia na kumuuwa Ali, makhawariji na si muawiya

Watu waliomshambulia sayidna ali



Namba ya swali 008

Waliomshambulia Sayidna Ali na kumuuwa walikuwa ni makhawariji. Tafadhali soma makala hapo chini ufahamu zaidi bofya hapa



Namba ya swali 001

Mtume alifurahia ushauri wa Nani katika Vita vya uhudi



Namba ya swali 001

Ungefaganua kidogo swali, ulikuwa ushauti katika maswala gani?



Namba ya swali 001

Katika uchimbaji wa handaki



Namba ya swali 001

Hivi havikuwa vita vya uhudi ila vilikuwa ni vita vya handaki



Namba ya swali 001

Aliyetoa ushauri wa kucjimba mahandaki alikuwa ni Salman al Fatis, Hivyo Mtume aliipenda rai hii ya kuchimba Mahandaki



Namba ya swali 001

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 2018-08-01 Topic: Sira Main: Dini File: Download PDF Views 1269

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game    👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    👉3 Simulizi za Hadithi Audio    👉4 Dua za Mitume na Manabii    👉5 Kitabu cha Afya    👉6 web hosting   

Post zinazofanana:

Mtume kumuoa bi khadija

Sara na historia ya Mtume Muhammad s.a.w, sehemu ya 15. Hapa utajifunza kuhusu chimbuko la ndoa ya Mtume s.a.w na bi Khadija.

Soma Zaidi...
Mafunzo Yatokanayo na Historia ya Nabii Lut (a.s)

(i) Tujitahidi kwa kadiri ya uwezo wetu kuondoa maovu katika jamii kwa mikono yetu na ikiwa hatuwezi tuyakemee kama alivyofanya Nabii Lut(a.

Soma Zaidi...
Maana ya kusimamisha uislamu katika dini

Dini anayostahiki kufuata mwanadamu (EDK form 2 dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...
Mafunzo yatokanayo na vita vya uhudi

Dola ya uislamu madinah (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...