Posti hii inahusu zaidi watu walio kwenye hatari ya kupata UTI, ni watu ambao wako kwenye hatari ya kupata ugonjwa wa UTI kwa sababu ya mazingira mbalimbali kama ifuayavyo.
Walio kwenye hatari ya kupata UTI
1.Mkojo kubaki kwenye kibofu Cha mkojo baada ya kukojoa, tukumbuke kwenye mkojo Kuna bakteria ambao ukaa ndani ya mkojo, kwa hiyo mtu yeyote akikojoa na bakteria hao Wakabaki ukua na kusababisha maambukizi kwenye kibofu Cha mkojo bakteria hai ukua na kusambaa kwenye sehemu mbalimbali za kibofu Cha mkojo na atimaye mtu Upata UTI.
2. Kutokunywa maji au kunywa maji kidogo.
Ikitokea Mtu akawa hanywi maji au anakunywa maji kidogo usababisha bakteria kukua na kuongezeka kwenye kibofu Cha mkojo , kwa sababu mtu anapokunywa maji usaidia kupunguza bakteria kwenye kibofu Cha mkojo lakini mtu hasipokunywa maji bakteria ubaki na kukua na kusambaa kwenye kibofu Cha mkojo, tatizo hili uwapata watu wale wanaotumia pombe badala ya maji na kusababisha maambukizi kwenye kibofu Cha mkojo.
3. Kama mkojo ni alkaline sana usababisha wadudu waendelee kukua na kuongezeka kwenye kibofu Cha mkojo. Hii utokea kwa watu wale ambao mkojo wao ni alkaline sana kuliko asidi bakteria ukaa hump na kukua na kusambaa kwenye sehemu mbalimbali za mwili na kwenda kibofu, kwa hiyo maji ni lazima Ili kuweza kufanya kiasi Cha alkaline na asidi viwe sawia kwa hiyo tujitahidi kurekebisha kiasi Cha alkaline kwenye mkojo.
4. Kushindwa kutibu maambukizi kwenye kibofu.
Kushindwa kutibu maambukizi kwenye kibofu usababisha maambukizi kuenea sehemu mbalimbali za mwili na na kusababisha madhara makubwa katika kibofu Cha mkojo, ambapo bakteria usambaa kutoka sehemu Moja kwenda nyingine kwa hiyo maambukizi uongezeka.
5. Kutotahiriwa kwa wavulana.
Kama wavulana hawajatahiliwa wadudu wanaweza kukaa kwenye ngozi ya kiume ambayo haijatahiriwa na kukua na kukomaa hatimaye kusambaa sehemu mbalimbali za mwili na kusababisha ugonjwa wa UTI.
6. Kutawadha kutoka nyuma kwenda mbele.
Watu wale wanaotawadha kutoka nyuma kwenda mbele wako kwenye hatari ya kupata ugonjwa wa UTI kwa sababu wadudu utoka kwenye kinyesi na kuingia kwenye kibofu Cha mkojo na Maambukizi yanaweza kuenea kutoka sehemu Moja kwenda nyingine na UTI ni shida kupona kwa watu ambao utawadha kutoka nyuma kwenda mbele.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Swali hili limeulizwa na mdau mmoja. Kuwa endapo mtu atafanya ngono zembe na akapata virusi je ataweza kuambukiza.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu minyoo na athari zao kiafya
Soma Zaidi...Kutokwa na mate mengi mdomoni si ugojwa ni hali inayoweza kutokea kwa mtu yeyote. Mara nyingi hali hii haihitaji matibabu wa dawa, na huondoka yenyewe. Lakini hutokea baadhi ya nyakati ikawa mate yanatoka zaidi mdomoni. Je na wewe ni miongoni mwao? Makala
Soma Zaidi...Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces, hawa ni fangasi wanaosababisha maradhi yajulikanayo kama blastomycosis.
Soma Zaidi...FIKRA POTOFY KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO Vidonda vya tumbo huja na maoni mengi potofu.
Soma Zaidi...Zijuwe sababu za kuumwa nankichwa upande mmoja wa kichwa.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukujulisha dalili za kuwa huwenda una fangasi sehemu zako za siri.
Soma Zaidi...Hapa nitakueleza namna ambavyounaweza kupunguza hatari ya kupata maradhi ya ini. Kwa njia hizi unaweza kujikina wewe na wengineo na maradhi haya hatari ya ini.
Soma Zaidi...Nini hasa kinatokea mpaka mtu anakuwa na pumu, ama anashambuliwa na pumu. Makala hii itakwenda kukufundisha jambo hili
Soma Zaidi...Utakapofanya ngono na aliyeathirika haimaanishi na wewe kuwa lazima utakuwa umeathirika. Kuathirika kuna mambo mengi lazima yafanyike.
Soma Zaidi...