Walio katika hatari ya kupata homa ya inni
Posti hii inahusu zaidi watu walio katika hatari ya kupata homa ya ini,kwa sababu ya hali zao mbalimbali wanaweza kupata ugonjwa huu.
Walio katika hatari ya kupata tatizo la homa ya inni.
1. Watoto wachanga waliozaliwa na akina mama wenye tatizo la homa ya ini kwa sababu ya kugusana kupitia maji maji na katika kugusana mtoto anaweza kupata wakati wa kuzaliwa.
2. Wanaofanya biashara ya ngono.
Kwa sababu wafanya biashara ya ngono ujamiiana na watu mbalimbali hali inayosababisha kujamiiana na mtu mwenye tatizo la homa ya ini naye akapata kwa hiyo ni vizuri kuwa makini kwa hilo.
3. Wanaume wanaofanya au wanaojamiiana kwa wanaume kwa sababu katika kugusana kama mmoja ana michubuko ni rahisi kupata ugonjwa wa homa ya ini.
4. Watumiaji wa madawa ya kulevya.
Kwa sababu kuna kipindi ambapo watumiaji wa madawa ya kulevya utumia sindano moja kujichoma kwa mtu zaidi ya mmoja.
5. Wafanyakazi wa sekta ya afya.
Kwa kawaida wabadili sana na wagonjwa mbalimbali kwa hiyo ni rahisi kuhudumia mgonjwa wa homa ya nini bila kupata na akapata pia.
6. Ndugu wanaoishi na mgonjwa aliyeathiriwa na ugonjwa wa homa ya inni.
Kwa kawaida katika familia mmoja akiugua wote tunamhudumia kwa vyovyote vile na kuwasiliana naye vizuri katika hali ya kutojua ugonjwa unaweza kusambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na hata familia nzima.
7. Wagonjwa wa figo wako kwenye hatari ya kupata tatizo la homa ya inii.
Kwa sababu ya hali halisi ya ugonjwa wao ni hatari zaidi kupata homa ya ini.
8. Mtu anayefanya mapenzi na mtu mwingine mwenye tatizo hili na yeye yupo katika hatari ya kupata tatizo la homa ya ini kwa hiyo ni vizuri kujua hali ya mtu kabla ya kufanya ngono.
9. Kwa hiyo ni vizuri kabisa kuhakikisha kwamba chanjo ya homa ya ini inatolewa kwa watu na pia na elimu itolewe ili watu waweze kujua namna homa hiyo inavyoambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 web hosting π2 Kitau cha Fiqh π3 Simulizi za Hadithi Audio π4 Madrasa kiganjani π5 Bongolite - Game zone - Play free game π6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Dalili za awali za ugonjwa wa kizukari
ugonjwa wa kisukari ni moja katika magonjwa hatari sana, na mpaka sasa bado hauna matibabu ya kuponya moja kwa moja
Soma Zaidi...Kupoteza nywele kwa wingi (Hair loss): Sababu na tiba.
βKupoteza nywele ni jambo linaloweza kuathiri hali ya kujiamini ya mtu yeyote. Ingawa ni kawaida kupoteza nywele 50 hadi 100 kila siku, kupoteza nywele kwa wingi kiasi cha kuacha sehemu wazi kichwani ni ishara kuwa kuna kitu hakiko sawa. Makala haya yanakusaidia kuelewa sababu zinazochochea hali hii na namna unavyoweza kurejesha afya ya nywele zako.
Soma Zaidi...Sasa UKIMWI unatokeaje?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia ambazo UKIMWI hutokea
Soma Zaidi...Dalili za HIV kwa Mwanamke Mjamzito
Makala haya yanalenga kutoa uelewa muhimu kuhusu virusi vya UKIMWI (HIV) na ujauzito. Tutachunguza dalili zinazoweza kujitokeza, umuhimu wa upimaji wa mapema kwa afya ya mama na mtoto, na jinsi ya kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto (PMTCT).
Soma Zaidi...Dalili za Kiharusi Cha joto la mwili.
Kiharusi cha joto ni hali inayosababishwa na joto la juu la mwili wako, kwa kawaida kama matokeo ya kufichuliwa kwa muda mrefu au bidii ya mwili katika joto la juu. Aina hii mbaya zaidi ya jeraha la joto, kiharusi cha joto kinaweza kutokea ikiwa joto
Soma Zaidi...MJUE MBU, NA YAJUWE MARADHI MAKUU MATANO (5) HATARI YANAYOAMBUKIZWA NA MBU, malaria kukamata namba moja kwenye maradhi hayo)
Mbu ni katika wadudu ambao husababisja vifo vya maelfu kila mwaka, na mamilioni ya watu wanaathirika na maradhi yaletwayo na mbu.
Soma Zaidi...