Fahamu ugonjwa wa Varicose vein

Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa vericose veini, hili ni tatizo ambalo utokea katika mzunguko wa damu hasa kwenye miguu.

Fahamu ugonjwa wa vericose veini.

1. Ni ugonjwa ambao utokea kwa sababu ya kuwepo matatizo kwenye mzunguko wa damu hasa kwenye miguu uwapata watu mbalimbali kwa sababu ya kuwepo na matatizo mbalimbali ya ki afya.

 

2. Kwa upande wa ugonjwa huu utokea kwenye mishipa midogo midogo ya damu kwenye miguu ambayo upelekea kwenda kwenye moyo .

 

3. Pia ukija kugundua ugonjwa huu mishipa ya juu karibu na ngozi uvimba hali ambayo usababishwa na kulegea kwa mishipa ya valve.

 

4. Kwa hiyo ni vizuri kabisa kugundua zaidi dalili hizi Ili kuweza kutafuta matibabu kwa sababu matibabu yasipofanyika mapema usababisha madhara makubwa zaidi.

 

 Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/18/Monday - 11:31:56 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 963


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-