PYTHON DATABASE

picha
SOMO LA 9 PYTHON SQLITE: JINSI YA KUIWEKA PROJECT YETU KWENYE FILE MOJA

Katika somo hili utaenda kujifunza namna ya kuunganisha mafaili mengi ya project na kuyaweka kwenye faili moja tu na kuweza kufikia faili zote kwa kupitia faili moja pekee
picha
SOMO LA 8 PYTHON SQLITE JINSI YA KUPATA JUMLA YA MADENI KUTOKA KWENYE DATABASE

Katika Somo hili la nane utaenda kujifunza namna ya kuchambua data kwenye database yetu kwa kupata jumla ya kiasi cha fedha kilichokopwa
picha
SOMO LA 7 PYTHON SQLITE: JINSI YA KUFUTA DATA KWENYE DATABASE

Katika somo hili utakwenda kujifunza namna bora ya kufuta data kutoka kwenye database
picha
SOMO LA 6 PYTHON SQLITE: JINSI YA KUSASISHA (UPDATE) DATA KUTOKA KWENYE DATABASE

Karibu kwenye somo la sita! Leo tunajifunza UPDATE, amri ambayo inaruhusu kubadili au kusasisha data iliyopo tayari kwenye meza (table) yetu. 
picha
SOMO LA 5 PYTHON SQLITE: JINSI YA KUSOMA (READ) DATA KUTOKA KWENYE DATABASE

Katika somo hili tutaenda kujifunza jinsi ya kusoma (Read) data kutoka kwenye database yetu
picha
SOMO LA 4 PYTHON SQLITE: JINSI YA KUINGIZA DATA KWENYE TABLE NA DATABASE

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuingiza data kwenye table na database tuliyoiunda katika somo lililopita
picha
SOMO LA 3 PYTHON SQLITE: JINSI YA KUUNDA TABLE KWENYE DATABASE YA SQLITE NA PYTHON

Katita somo hili sasa tutaenda kujifunza namna ya kuunda table kwenye database ya SQLITE kwa kutumia Python
picha
SOMO LA 2 PYTHON SQLITE NA MUUNGANIKO WA DATABASE (DATABASE CONNECTION)

Karibu ujifunze Python Sqlite na muunganiko wa Database (Database Connection)
picha
SOMO LA 1: UTANGULIZI WA SQLITE NA JINSI YA KUITUMIA KATIKA PYTHON

Katika somo hili tutajifunza utangulizi wa SQLITE na jinsi ya kuitumia katika python