SURA YA NANE
IDHWHAR NA IDGHAM KATIKA LAAM
IDHWHAAR NA IDGHAAM KATIKA LAAM
(Laam) ya المعرفة (al-ma’rifah- kibainishi) inapokuwa mbele ya herufi za hijaaiyah hugawika katika hali mbili; Herufi za الشَّمْسِيَّة (ash-shamsiyah - jua) na za الْقِمَرِيَّة (al-qamariyah - mwezi). ل hiyo hutamkwa ima kwa idhwhaar au kwa idghaam.
LAAM