Maulamaa katika elimu ya Quran wametofautiana juu ya aya ya mwisho kushuka. Hata hivyo hapa nitakutajia ambayo imependekezwa zaidi
Aya ya mwisho kushuka katika Qur'an inapatikana katika Surat Al-Baqarah (Sura ya Pili), Aya ya 281. Aya hii inasomeka kama ifuatavyo:
[Surah Al-Baqarah: 281]
Tafsiri yake ni:
Na iogopeni Siku ambayo mtarudishwa kwa Mwenyezi Mungu, kisha kila nafsi italipwa ilicho chuma. Nao hawatadhulumiwa.
Aya hii ina ujumbe muhimu wa kumkumbusha mtu juu ya Siku ya Kiyama ambapo kila nafsi itahesabiwa kwa matendo yake na itawajibishwa kwa yale iliyojifanyia. Ni aya inayotukumbusha umuhimu wa kuwa na takua na kufanya mema katika maisha yetu ili tufaidike katika Akhera.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
SURAT AL-QURAYSH Sura hii ina majina mawili.
Soma Zaidi...FADHILA ZA BAADHI YA SURA Umuhimu na ubora wa baadhi ya sura na aya.
Soma Zaidi...surat Zalzalah ni sura ya 99 katika mpangilio wa Quran, na ina aya 8. Sura hii imeteremshwa Madina ila pia kuna kauli zinathibitisha kuwa ni ya Makkah. Katika hadithi iliyopewa daraja la hassan na Imam Tirmidh Mtume S.A.W amesema kuwa kusoa surat Zilzalah
Soma Zaidi...Zijuwe sababu kuu za kushuka surat Al-Humazah katika quran
Soma Zaidi...