N
10. Swalatut-Tawbah
Swalatut-Tawbah ni swala va kutubia.Muislamu akitclcza na kuritkosea Mola wake au bina tdainu mwenzake au akidhulumu naisi yake, hana budi kutubu upesi iwezekanavvo. Kutubu maana yake ni kujutia kosa ulilolifanya, kuku.na moja kwa moja kufanya kosa kilo. kuahidi kwa dhati moyoni kutorudia kosa hilo na kuomba msamaha kwa Allah kama umemkosea Yeve moja kwa moja. Kama umemkosea binaadamu kwanza muombe msamaha yeye mwenyewe kama inawezekana, kisha muombe Mwenyezi Mungu msamaha. Kama haiwezekani kumuomba msamaha huyo uliyemkosea, muombe msamaha Mwenyezi Mungu.
Njia nzuri ya kutubia ni kuswali rakaa mbili kisha kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu kama tunavyojifunza katika Hadithi ifuatavo:
Abu Bakar ir.al amesimulia kuwa Mtutne (s.a.w) amesema:
βNa ambao wanapofanya uchafu au kudhulumu nafsi zao humkumbuka Mwenyezi Mungu na kumuomba msamaha kwa dhambi zao. Na nani anayeghufiria dhambi isipokuwa Mw enyezi Mungu? Na haw aendelei na (maovu) waliyoyafanya, hali wanajua (kuwa hayo ni maovu). (3:135-136)
Umeionaje Makala hii.. ?
Maana ya SunnahKilugha: Neno sunnah katika lugha ya Kiarabu lina maana ya mwenendo au mila.
Soma Zaidi...Kwakuwa kila mtu anatambua kuwa ipo siku atakufa hivyo ni vyema kuanza kujiandaa mapema.
Soma Zaidi...