Namna ya kuswali swala ya kuombea haja

9.

Namna ya kuswali swala ya kuombea haja

9. Swala ya Kukidhi Haja



Muislamu anatakiwa amtegemee Allah (s.w) katika kila hali. Kila anapokuwa na tatizo au anapohitajia jambo lolote, anatakiwa amuelekee Allah (s.w) na aombe msaada kutoka kwake.



Abdur-Raham ibn Awfi (r.a) amesimulia kuwa Mtume (s.a.w) amesema: Yeyote atakayekuwa na haja ambayo anataka itoshelezwe na Allah (s.w) au na mwanaadamu na atawadhe inavyostahiki, kisha aswali (rakaa mbili) amhimidi Allah na kumtakia Mtume Rehma na amani kisha aseme:
β€œHapana Mola (apasaye kuabudiwa) ila Mwenyezi Mungu. Mwingi wa huruma, Mkarimu. Utukufu ni wa Allah, Mfalme wa Arshi Tukufu, Shukurani zote ni za Mwenyezi Mungu Mola (Bwana) wa walimwengu.


Nakuomba unr'laalie njia ya kupata rehtna Zako na sababu ya kupata msanwha wako: Ninaomba hifadhi Yako kutokuna na kila oru. Usiniache na kosa (dhanrbi) lnlote bila vu kunisatnehe na (usiniache na) na wasi wasi wowote bila ra kuniondolea, na usiniache na haft' vovore venue radhi Zako bila ya kunikidhia. Ewe Mwingi wa Rehnui Mrehentevu ". (Tirmidh, Ibn Majah).




                   


Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Main: Dini File: Download PDF Views 5119

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
πŸ‘‰1 Kitabu cha Afya    πŸ‘‰2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    πŸ‘‰3 Simulizi za Hadithi Audio    πŸ‘‰4 Bongolite - Game zone - Play free game    πŸ‘‰5 kitabu cha Simulizi    πŸ‘‰6 Kitau cha Fiqh   

Post zinazofanana: