SURA YA TANO
HUKUMU ZA IDGHAM . 1 Idghaam Al-Mutamaathilayni (Zinazofanana)
Hukumu hii hutokea wakati herufi mbili za aina moja zinapokutana, kwa namna ya kuwa herufi ya kwanza iwe na sakina na inayofata iwe na i’rabu. Hali hii itafanya herufi ya kwanza iingizwe kwenye herufi ya pil na hivyo hii ya pili inawekwa shada.
IDGHAM

2 إِدْغام الْمُتَجانِسَيْنِ Idghaam Al-Mutajaanisayni (Zinazoshabihiana)
Hii hutokea pale herufi mbili zinazokaribiana kufanana katika matamshi zikkititana, na mnmna ambayo herufi ya kwanza iwe na sakina na inayofata iwe na i’rabu. Hali hii itapelekea kuwekwa shada kwa herufi ya pili.
IDGHAM

IDGHAM