Ugonjwa wa pumu ni ugonjwa unaoshambulia mfumo wa hewa ambapo mgonjwa hushindwa kupumua vizuri na hupelekea matatizo ya kudumu kama haujatibiwa mapema.
Dalili za ugonjwa wa pumu
1. Kubanwa na kifua
2. Kupumua kwa shida
3. Kikohoa
4. Mlio wa kupumua huwa kama sauti ya filimbi
5.hewa huwa fupi wakati wa kupumua.
Aina ya ugonjwa wa pumu
1. Pumu ya mda
Hii ni Aina ya pumu ambayo huchukua mda mfupi na inaweza kutibiwa na ikaisha kabisa.
2. Pumu ya kudumu
Hii ni Aina ya pumu ambayo huchukua mda mrefu na mtu anaweza kuishi nayo maisha yake yote Ila Kuna dawa ambayo hutumika Ili kupunguza makali na kutumia kwa mda.
Zifuatazo ni sababu za kuwepo kwa pumu,kufuata a na wataalamu mbalimbali hakuna sababu za moja kwa moja zinazosababisha pumu Ila Kuna viashilia ka vifuatavyo
. 1- Uchafuzi wa Hali ya hewa
. 2- Kemikali mbalimbali
.3. harufu ya Maua na mimes
.4. vipodozi
.5. pamoja na vumbi
Namna ya kutibu ugonjwa wa pumu
Ugonjwa huu ukiuwahi unatibika hospitalin, pia kujitahidi kujiepusha na mazingira yanayosababisha kuwepo kwa pumu na kufuata maagizo ya wataalamu.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu dalili za mtu Mwenye ugonjwa wa kisukari, dalili hizi zinaweza kujitokeza Moja kwa Moja mtu akagundua kuwa ana Ugonjwa wa kisukari.zifuatazo ni dalili za ugonjwa wa kisukari.
Soma Zaidi...post hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa wa kifaduro ambao hujulikana Kama Pertussis pia inajulikana kama kifaduro ni maambukizi ya bakteria ambayo huingia kwenye pua yako na koo.
Soma Zaidi...Upasuaji ni kundi la ki medical linalohusu kutoa kiungo kisichohitajika kwenye mwili.
Soma Zaidi...Makala hii itazungumzia dalili za Malaria, athari za kuchelewa kutibu malaria, na matibabu ya malaria
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia au hatua tatu muhimu anazopitia Mgonjwa wa gauni, kuanzia kwa Maambukizi mpaka kwenye hatua ya mwisho hasa kama Ugonjwa huu haujatibiwa mapema.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na kujikinga au kuzuia virusi vya ukimwi.
Soma Zaidi...Mbu ni katika wadudu wanaopatikana maeneo yenye joto hususan maeneo ynye hali ya hewa ya kitropik.
Soma Zaidi...Swali langu: Ukiwa na areji , afu kupata muwasho korodani unapo jikuna unga kutoka nayo fangasi?
Soma Zaidi...posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa wa kifua kikuu kwa watoto chini ya miaka mitano. Kifua kikuu ni ugonjwa sugu wa kuambukiza na anuwai ya magonjwa ya kliniki yanayosababishwa na Mycobacterium tuberculosis complex.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kama mtu hajatibiwa ugonjwa wa kichaa cha mbwa.
Soma Zaidi...