Kuwashwa pumbu ni dalili ya fangasi?

Kuwashwa pumbu ni dalili ya fangasi?

Habari.

Kuwashwa pumbu ni dalili ya fangasi?

Habari...!
Pumbu langu linawasha sana, na nikilikuna linakuwa jekundu na kubabuka. Je ni dalili ya nini?



Namba ya swali 055

Sorry jana sikuweza kujibu sms yako. Pole sana. Umesema unawashwa pumbu. Hii ni daliki ya fangasi. Fangasi hawa huwa wanaweza kupona kwa urahisi kama utafata masharti vyema. Fika duka la dawa jirani nawe, nunua ya kupaka, kama ndani ya wiki 2 hutapona fika kituo cha afya



Namba ya swali 055

Ahsante kwa kunifahamisha



Namba ya swali 055

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Views: 3212

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 web hosting     👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉6 Simulizi za Hadithi Audio    

Post zinazofanana:

Madhara ya kiafya ya kupiga punyeto

Post hii inakwenda kukutania madhara ya kuoiga punyeto kwa afya yako.

Soma Zaidi...
Kazi na mdalasini katika kutibu matatizo ya homoni.

Posti hii inahusu zaidi kazi ya mdalasini katika matibabu ya homoni kwa wanawake.

Soma Zaidi...
Mabadiliko ya Matiti kwa Mama mjamzito

Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye Matiti kwa Mama mjamzito, hali hii utokea pale ambapo mama akibeba mimba Kuna mabadiliko kwenye Matiti kama ifuayavyo.

Soma Zaidi...
Je bado unasumbuliwa na nguvu za kiume?

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kuondoa tatizo la nguvu za kiume

Soma Zaidi...
Fahamu siku za kubeba mimba na zisizo za kubeba mimba.

Posti hii inahusu zaidi siku za kubeba mimba na zisizo za kubeba mimba , tunapaswa kujua hivi Ili kuweza kupanga uzazi na kuepuka njia ambazo ni hatarishi kwa afya zetu.

Soma Zaidi...
Sababu za kutokea kwa saratani ya matiti

Saratani ya matiti ji moja kati ya saratani zinazosumbuwa wqnawake wengi. Katika somo hili utajifunza chanzo cha kutokea saratani ya matiti

Soma Zaidi...