picha

nikiasi gani cha protini kinachohitajika mwilini kwa siku kwa mtumzima

nikiasi gani chaprotini kinachohitajika mwilini kwa siku kwa mtumzima

Asanteni sana kwa somo zuri la protini naombeni kujua nikiasi gani chaprotini kinachohitajika mwilini kwa siku kwa mtumzima



Namba ya swali 054

Gram 46 kwa mwanamke na 56 kwa msanaume



Namba ya swali 054

Je sapliments za protini zinawezakua njianzuri kuonngeza viwango vya protini mwilini?



Namba ya swali 054

Kama kuna uwezekano wa kupata protini asilia ni njia nzuri zaidi. Ila kama ni katika wanaijitaji pritini jwa haraka kama body building ukitumia saplinenti haitadhuri.



Namba ya swali 054

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 1158

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Dua za Mitume na Manabii    👉2 web hosting    👉3 Bongolite - Game zone - Play free game    👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    👉5 kitabu cha Simulizi    👉6 Kitau cha Fiqh   

Post zinazofanana:

Faida za kiafya za kula kisamvu

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kisamvu

Soma Zaidi...
Faida za kula Ndizi

Kuna faida kubwa za kiafya kwa kula ndizi, soma makala hii mpaka mwisho

Soma Zaidi...
Vyakula hatari kwa mjamzito hasa mimba changa

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya hatari kwa mjamzito hasa mimba changa

Soma Zaidi...
Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume

Vijuwe vyakula vya kyongeza nguvu za kiume na mambo yanayopunguza nguvu za kiume

Soma Zaidi...
Faida za kula Matunda

Sifanjema Ni za Mwenyezi Mungu aliyetupa Afya njema hata kuifanya kazi hii mpaka kufiia hapa.

Soma Zaidi...
Faida za kula chungwa na chenza (tangarine)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula chungwa na chenza (tangarine)

Soma Zaidi...