nina upungufu wa damu HB 4 niko nyumban maana hispitali nimeruhusiwa ila nina kizungu zungu

nina upungufu wa damu HB 4 niko nyumban maana hispitali nimeruhusiwa ila nina kizungu zungu

Nina shida.

nina upungufu wa damu HB 4 niko nyumban maana hispitali nimeruhusiwa ila nina kizungu zungu

Nina shida...nina upungufu wa damu HB 4 niko nyumban maana hispitali nimeruhusiwa ila nina kizungu zungu muda wote na kichwa kinauma nifanyeje??



Namba ya swali 053

Sorry nilikuwa bize sana sikujibu sms yako. Umesema una upungufu wa samuy na umeruhusuwa nyumbani, unasumbuliwa na kizunguzungu Pole sana. Je uliongezewa damu? Ama ulipewa maelekezo gani?



Namba ya swali 053

Nilpewa vdonge



Namba ya swali 053

Kizunguzungu, na mapigo ya moyo kwenda mbio ni kwa sababu ya damu. Itakapo kaa sawa hutasikia tena hali hizo. Jatibu kukaa chini ama kulala pindi unapopata kizunguzungu



Namba ya swali 053

Ahsante sana..Nashukuru kwa kujali



Namba ya swali 053

Ahsante pia, samahani sana kwa kuchelewa kukujibu. Tupo pamoja ukihitaji ushauri zaidi usisite kuwasiliana nami



Namba ya swali 053

Sawa...nashukuru



Namba ya swali 053

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Huduma Main: Post File: Download PDF Views: 1901

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 ai web app     👉3 Simulizi za Hadithi Audio     👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉6 Dua za Mitume na Manabii    

Post zinazofanana:

Mzunguko wa mwezi kwa mwanamke

Posti hii inahusu zaidi mzunguko wa mwezi kwa mwanamke, ni mzunguko ambao huchukua siku ishilini na nane kwa kawaida Ila lla ubadilika kulingana na mtu, Ila ngoja tuangalie siku ishilini na nane tu.

Soma Zaidi...
Huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na shambulio la moyo

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na shambulio la moyo

Soma Zaidi...
Huduma ya kwanza kwa mwenye uchafu kwenye sikio.

Posti hii inaelezea kuhusiana na mbinu za kutoa huduma ya kwanza kqa mgonjwa aliyeingiliwa na kitu au uchafu kwenye sikio.

Soma Zaidi...
Faida za seli

Posti hii inahusu zaidi faida za seli. Seli ni chembechembe hai za mwili ambazo hufanya kazi mbalimbali katika mwili wa binadamu.

Soma Zaidi...
Imani potofu juu ya chanjo.

Post hii inahusu zaidi Imani potofu juu ya chanjo kwa watoto na akina Mama, ni baadhi ya Imani waliyonayo watu juu ya chanjo.

Soma Zaidi...
Nna swali mimi nimefanya Romance na mtu ambaye sijampima kbsa sasa naogopa anaeza kuwa mgonjwa na mm nkaupata

Muulizaji anauliza he kula denda, ama kumbusu ama kufanya romance na muathirika was HIV na wewe uta ambukizwa?

Soma Zaidi...