Je! inajuzu wanawake kuzuru makaburi?

As salaam alaykum warahmatullah wabarakatuh, nauliza inajuzu wanawake kuzuru makaburi?

Je! inajuzu wanawake kuzuru makaburi?

As salaam alaykum warahmatullah wabarakatuh, nauliza inajuzu wanawake kuzuru makaburi?



Namba ya swali 005

Waalykum salaam warahmatullah wabarakaatuh . Ndio inajuzu kwa mwanamke kuzuru makaburi



Namba ya swali 005

Shukran, Je unaweza nielekeza Dua ya kuzuru makaburu?



Namba ya swali 005

Dua ya kuzuru Makaburi

Dua ya kuzuru kaburi ู„ุณู‘ูŽู„ุงู…ู ุนูŽู„ูŽู€ูŠู’ูƒูู…ู’ ุฃูŽู‡ู’ู„ูŽ ุงู„ุฏู‘ููŠุงุฑู ู…ูู†ูŽ ุงู„ู…ุคู’ู…ูู†ูŠู€ู†ูŽ ูˆูŽุงู„ู’ู…ูุณู’ู„ูู…ูŠู†ูŽุŒ ูˆูŽุฅูู†ู‘ุง ุฅูู†ู’ ุดุงุกูŽ ุงู„ู„ู‡ู ุจููƒูู€ู…ู’ ู„ุงุญูู‚ูู€ูˆู†ูŽุŒ (ูˆูŽูŠูŽุฑู’ุญูŽู…ู ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ุงู„ู’ู…ูุณู’ุชูŽู‚ู’ุฏูู…ููŠู†ูŽ ู…ูู†ู‘ูŽุง ูˆูŽุงู„ู’ู…ูุณู’ุชูŽุฃู’ุฎูุฑููŠู†ูŽ) ุฃูŽุณู’ู€ุงูŽู„ู ุงู„ู„ู‡ูŽ ู„ูŽู†ูŽู€ุง ูˆูŽู„ูŽูƒูู€ู…ู’ ุงู„ุนูŽู€ุงูููŠูŽุฉูŽ.

Assalaamu โ€™alaykum ahlad-diyaar minal Mu-uminiyna wal Muslimiyn, wainnaa In Shaa Allaahu bikum laahiquwn. (Wa yarhamu-Allaahu al-mustaqdimiyna minnaa wal musta-akhiriyna). As-alu-Allaaha lanaa walakumul-โ€™aafiyah

Amani ishuke juu yenu watu wa nyumba za Waumini na Waislamu, nasi apendapo Allaah tutakutana nanyi (Na Allaah Awarehemu wa mwanzo na wa mwisho). Namuomba Allaah Atupe sisi nanyi Al-โ€™Aafiyah al-hidaayah.com



Namba ya swali 005

Shukran



Namba ya swali 005

Karibu tena. Pia kwa utaratibu mzima tafadhali boya hapa



Namba ya swali 005

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Sunnah Main: Dini File: Download PDF Views 1179

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
๐Ÿ‘‰1 Kitau cha Fiqh    ๐Ÿ‘‰2 Dua za Mitume na Manabii    ๐Ÿ‘‰3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    ๐Ÿ‘‰4 web hosting    ๐Ÿ‘‰5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    ๐Ÿ‘‰6 Simulizi za Hadithi Audio   

Post zinazofanana:

DUA ZA KUONDOA WASIWASI

DUA ZA KUONDOA MAUMIVU MWILINI Katika uislamu Allah amejaalia dawa katika kufuata sunnah.

Soma Zaidi...
Uandishi wa hadithi wakati wa maswahaba

Nini kilichangia ongezeko la uandishi wa hadithi wakati wa maswahaba.

Soma Zaidi...
Dua za kuwaombea wazazi

Kwenye Quran kuna duaambazo Allah ametufundisha tuziombe kwa ajili ya wazazi, familia na kwa ajili yetu wenyewe.

Soma Zaidi...
Dua 10 ambazo ni muhimu kuziomba kwa kila siku.

Posti hii inakwenda kukupa orodha ya dua 10 ambazo unaweza kuziomba kila siku.

Soma Zaidi...
Hadithi ya tatu:ukarimu na kusaidiana

Sunnah na hadithi (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...
Matamshi ambayo ukimwambia Allah kwenye dua yako basi hujibiwa kwa haraka dua hiyo

Post hii inakwenda kukufundisha matamshi ambayo mtu akiyatamka Allah hujibu dua hiyo kwa urahisi.

Soma Zaidi...