je kutokwa na maji mengi wakati wa tendo la ndoa inaashilia nini?

Je kutokwa na maji ukeni ambayo hayana harufu na meupe Hadi kuroanisha chupi, na je kutokwa na maji mengi wakati wa tendo la ndoa inaashilia nini?

je kutokwa na maji mengi wakati wa tendo la ndoa inaashilia nini?

Je kutokwa na maji ukeni ambayo hayana harufu na meupe Hadi kuroanisha chupi, na je kutokwa na maji mengi wakati wa tendo la ndoa inaashilia nini?



Namba ya swali 000

Hali hizo ninkutokana na uchichezi wa homonibkuwa mkubwa. Na sio shida yeyite kiafya, nazungumzia majinmengi wakati wa tendo. Pia matumizi ya dawa za uzazi wa mpango huchangia kwankiasi kikubwa kwa baadhi ya wanawake. Zipo sababu nyingine pia



Namba ya swali 000

Bila matumizi ya uzazi wa mpango , vp kuna sababu nyingine ? Na unanisaidiaje?



Namba ya swali 000

Tofauti na hivyo kama majimaji yapo safi hayana rangi tofauti na harufu mbaya, hakuna shida kiafya, ila unaweza kumuona daktari kama hali haikupi raha.

Mfumo wa homoninndio unaohusika na halinhiyo. Hivyonkama homoni zinazalishwa kwa wingi ndio majimaji yanaongezeka



Namba ya swali 000

Sawa asante sana ubarikiwe



Namba ya swali 000

Ubarikiwe nawe



Namba ya swali 000



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1227


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-