Ukiwa na aleji , afu kupata muwasho korodani unapo jikuna unga kutoka nayo fangasi?

Ukiwa na aleji , afu kupata muwasho korodani unapo jikuna unga kutoka nayo fangasi?

Swali langu: Ukiwa na areji , afu kupata muwasho korodani unapo jikuna unga kutoka nayo fangasi?

Ukiwa na aleji , afu kupata muwasho korodani unapo jikuna unga kutoka nayo fangasi?

Swali langu: Ukiwa na areji , afu kupata muwasho korodani unapo jikuna unga kutoka nayo fangasi?



Namba ya swali 028

Yes kuna uwezekano mkubwa una fangasi



Namba ya swali 028

Ok nimetumia dawa nilipona mda mfupi imeludi tena iyo hari , kwani kuna uwezekano wa kupona kabisaa?



Namba ya swali 028

Yes upo uwezekano wa kupona fangasi wa korodani. Zungumza na daktari akupatie dawa za kunywa kama hali itaendelea kujirudia



Namba ya swali 028

Nilipewa vidonge na dawa ya kupaka ndo ikajiludia iyo hali nashindwa nifanyeje? au inakua bado ipo kwenye nguo ninazo vaa?



Namba ya swali 028

Zungumza na daktari akupatie dawa za kunywa maana za kupaka mara nyingi hutoa fangasi walio kwenye ngozi. Huenda wapo kwenye damu. Dawa ya kunywa itawauwa wa ndani ya damu na nje



Namba ya swali 028

Sawa nashukulu sana kwa ushauli mzuri naenda kesho ntakujulisha kitakacho endelea asantee



Namba ya swali 028

Ok



Namba ya swali 028

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views: 2177

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
πŸ‘‰1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     πŸ‘‰2 Bongolite - Game zone - Play free game     πŸ‘‰3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     πŸ‘‰4 Kitau cha Fiqh     πŸ‘‰5 web hosting     πŸ‘‰6 Madrasa kiganjani    

Post zinazofanana:

Heti kama mtu kafany mapenzi na mtu mwe ukimwi siku hihiyo akenda hospitali kapewa dawa kweli hataweza kuwabukizwa

Swali hili limeulizwa na mdau mmoja. Kuwa endapo mtu atafanya ngono zembe na akapata virusi je ataweza kuambukiza.

Soma Zaidi...
DAWA MBADALA ZA VIDONDA VYA TUMBO

DAWA MBADALA ZA VIDONDA VYA TUMBO Dawa za kukabiliana na zaidi ambazo zina calcium carbonate (Tums, Rolaids), zinaweza kusaidia kutibu vidonda vya tumbo lakini hazipaswi kutumiwa kama matibabu ya msingi.

Soma Zaidi...
Dalili za VVU

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za VVU

Soma Zaidi...
Dawa za kutibu fangasi sugu za ukeni (Vaginal Candidiasis).

Fangasi wa ukeni (Vaginal Candidiasis) husababishwa na kuzaliana kupita kiasi kwa fangasi aina ya Candida. Ingawa mara nyingi hutibika kwa dozi moja, baadhi ya wanawake hukumbwa na fangasi sugu (recurrent candidiasis)β€”hali inayojitokeza mara nne au zaidi kwa mwaka. Hii si hali ya kawaida na inahitaji mbinu madhubuti za kitabibu badala ya kutegemea dawa za dukani pekee. Makala haya yanakupa mwongozo wa tiba na hatua za kudumu za kuondoa kero hii.

Soma Zaidi...
Dalili na madhara ya Kiungulia

post hii inaelezea kuhusiana na dalili au ishara na madhara ya Kiungulia ni maumivu ya moto kwenye kifua chako, nyuma ya mfupa wako wa kifua. Maumivu huwa mabaya zaidi wakati wa kulala au kuinama

Soma Zaidi...
Fikra potofu kuhusu vidonda vya tumbo

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya fikra potofu kuhusu vidonda vya tumbo

Soma Zaidi...