Tatizo la kujaa mate mdomoni nimeambiwa nina minyoo

Tatizo la kujaa mate mdomoni nimeambiwa nina minyoo

Mie ni kijana wa kiume umri 33, nna tatizo la kujaa mate mdomoni nimeambiwa nna minyoo lakini hata nikinywa dawa sioni afadhali, niliona labda ni pombe nikapumzika kunywa tatizo lipo pale pale japo nisipokunywa haliwi kwa ukubwa ule ila lipo.

Tatizo la kujaa mate mdomoni nimeambiwa nina minyoo

Mie ni kijana wa kiume umri 33, nna tatizo la kujaa mate mdomoni nimeambiwa nna minyoo lakini hata nikinywa dawa sioni afadhali, niliona labda ni pombe nikapumzika kunywa tatizo lipo pale pale japo nisipokunywa haliwi kwa ukubwa ule ila lipo. Dawa za minyoo nilizokunywa ni vumtre



Namba ya swali 020

Pole sana



Namba ya swali 020

Endelea kupunguza unywaji wa pombe, ila tafuta hospitali yenye vipimo zaidi upate kuima



Namba ya swali 020

Tatizo la kujaa kwa mate kwenye mdomo kitaalamu hufahamika kama hypersalvation au sialorhea au ptyalism. Kikawaida huu si ugonjwa ila ni dalili ya magonjwa kama:-

1. uJauzito

2. maambukizi kwenye koo

3. vidonda ama uvimbe kwenye mdomo

4. usafi wa Mdomo kuwa mdogo

5. maambukizi ya maradhi kama kifua kikuu

6. mipasuko kwenye taya

7. maumbile ya ulimi



Namba ya swali 020

Sawa nitajitahidi kwenda kupima



Namba ya swali 020

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views: 4237

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 web hosting     👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Bongolite - Game zone - Play free game     👉5 Simulizi za Hadithi Audio     👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    

Post zinazofanana:

Madhara ya kichaa cha mbwa

Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kama mtu hajatibiwa ugonjwa wa kichaa cha mbwa.

Soma Zaidi...
Mambo ya kuzingatia kabla ya upasuaji,

Upasuaji ni kundi la ki medical linalohusu kutoa kiungo kisichohitajika kwenye mwili.

Soma Zaidi...
Jinsi ya kutoa huduma ya kwanz akwa liyeshambuliwa na pumu

Hii ni huduma ya kwanza kwa aliyeshambuliwa na pumu katika mazingira ambayo ni mbali na kituo cha afya, na hakuna dawa.

Soma Zaidi...
Dalili za maumivu ya jino

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za maumivu ya jino

Soma Zaidi...
TIBA YA MINYOO AU DAWA YA MINYOO: praziquantel (biltricide) mebendazole (vermox, emverm) na albendazole (albenza).

TIBA YA MINYOO Moja katika sifa za minyoo ni kuwa wanatibika kwa urahisi pindi mgonjwa akipewa dawa husika.

Soma Zaidi...
SABABU ZA KUTOKEA KWA VIDONDA VYA TUMBO

SABABU ZA KUTOKEA KWA VIDONDA VYA TUMBO Sababu za kawaida za vidonda vya tumbo ni maambukizo na bakteria Helicobacter pylori (H.

Soma Zaidi...