Usimamizi wa Haki na haki za binadamu Katika Dola ya Kiislamu
- Ni wajibu wa dola kuhuisha, kuendeleza na kudumisha maadili ya jamii ili kuishi kwa furaha na amani ya kweli.
- Ni wajibu kukomesha maovu ambayo husababisha vurugu, huzuni na mashaka katika jamii.
- Ni wajibu kusimamia haki na uadilifu wa kila raia bila upendeleo wa aina yeyote kama ifuatavyo;
a) Haki za kila binaadamu
- Haki ya kuishi
- Haki ya usalama wa maisha yao
- Haki ya kuheshimu utwaharifu wa manmade
- Haki ya heshima
- Haki ya uhuru binfsi
- Haki ya usawa wa binaadamu
- Haki ya mahusiano
b) Haki za raia Katika Dola ya Kiislamu
- Haki ya kuendesha maisha binafsi
- Haki ya kupinga na kuzuia udhalimu, maovu na kuamrisha mema
- Haki ya uhuru wa kutoa maoni na kuheshimiwa
- Haki ya kuamini na kuabudu
- Haki ya kushitaki viongozi wa Dola
- Haki ya kushika hatamu ya uongozi wa Dola
c) Haki za Wasiokuwa Waislamu Katika Dola ya Kiislamu
- Haki ya ulinzi na usalama wa maisha na mali zao
- Haki katika sheria za jinai
- Haki katika sheria za madai
- Haki ya heshima
- Haki ya uhuru na katika sheria ya mtu binafsi
- Haki ya uhuru wa kuamini na kufanya ibada kwa mujibu wa imani yake. Kumbuka:
Dhimmi hawana haki ya kuongoza katika Dola ya Kiislamu kwa sababu wanaenda kinyume na hawakubaliani na malengo ya Dola.
Rejea Qur’an (2:257)