Namna ya kujikinga na ugonjwa wa madonda ya koo
Post hii inahusu zaidi namna ya kuzuia ugonjwa wa madonda ya koo,ni njia ambazo usaidia katika kujikinga na ugonjwa wa madonda ya koo.
1. Kutumia kitambaa wakati wa kupenga mafia, hii usaidia kutosambaa kwa wadudu kutoka sehemu Moja kwenda nyingine
2. Kunawa mikono kila mara unapotoka sehemu Moja kwenda nyingine, hii usaidia kutosambaa kwa wadudu.
3. Kutotumia vifaa vya kulia chakula na kunywea maji au chai zaidi ya mtu mmoja, hii upunguza kusambaza wadudu.
4. Kuepuka kuhusiana na watu wenye maambukizi, au kuachana kabisa na kupiga denda
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 web hosting 👉3 Kitau cha Fiqh 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 ai web app
Post zinazofanana:
Fangasi wa sehemu za Siri
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu fangasi wa sehemu za Siri
Soma Zaidi...Dawa za kupunguza uzito: Je, zina faida au madhara?
Dawa za Kupunguza Uzito: Je, Zina Faida au Madhara? Mwongozo wa Kitaalamu
Soma Zaidi...Je, Fangasi Ukeni Huambukiza?
Maambukizi ya fangasi ukeni (Vaginal Thrush/Yeast Infection) ni changamoto inayowasumbua wanawake wengi, lakini bado kuna mkanganyiko mkubwa kuhusu jinsi ugonjwa huu unavyoenea. Makala haya yanachambua kiundani tabia ya fangasi hawa, kama wanaweza kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda mwingine, dalili zake, na ukweli wa kisayansi unaofuta dhana potofu zilizopo kwenye jamii.
Soma Zaidi...AFYA NA MAGONJWA
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Mtoto Kutokwa na matongo tongo tiba ake nin sababu
Hili ni swali lililowahi kuulizwa na moja ya wasomaji wetu
Soma Zaidi...Kuharisha choo cha marenda renda ni dalili gani?
Hivi huwa unachunguza choo chako? ivi huwa kinazama kwenye maji ama kinaelea? Kila damu ama malendalenda, je ni cheusi sana na kina harufu kali sana.
Soma Zaidi...