
Faida za mbegu za maboga
- mbegu za maboga zina virutubisho kama protini, fati, vitamini K na madini ya zink, shaba, manganese na manganessium.
- Zina antioxidant ambazo hulinda seli dhidi ya uharibifu
- Husaidia kupunguza uwezekano wa kupata saratani
- Huimarisha afya ya korodani na kibofu
- Husaidia kuboresha afya ya moyo,
- Hudhibiti kiwango cha sukari
- Ni nzuri kwa afya ya mifupa
- Huzuia tatizo la kuziba kwa choo
- Huongeza wingi wa mbegu za kiume
- Husaidia katika kupata usingizi mwororo