Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Za jioni mimba ya wiki 3 ikitoka inakuaje
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 941
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Je kama unahisi una mimba ya wiki moja alafu tumbo linakuwa linaunguruma mara kwa mara je ni dalili za mimba na kukosa aman ya moyo
m nlishawahi kuwa na mtu mwenye magonjwa ya zinaa.. pamoja na p.id..fungus... kiukwel nmeangaika xn kujitibu na sas imebaki u.t.i kidogo na vifangas lkn ndugu naona kama na nguvu zangu za kiume zimekuwa zikipungua
Nataka kujua ipo tiba ya uvimbe kwenye. Kibofu?
ninasumbuliwa sana na upungufu wa vitamin c tangu mwaka 2022 pia napatwa na vidonda mdomoni mara kwa mara vinachukua mda mrefu kupona je nitumie dozi gani na kwa mda gani
Naumivu ya tumbo kwa meenye mimba ya mwezi mmoja hutokea juu ya kitovu ama chini ya kitovu?
Je mwanamke mwembamba ataweza jifunguaa Kwa njia ya kawaida