SWALI:

Je kwamfano nilikuwa kwenye siku zangu nanikafanya mapenzi na mtu mwenye maambukizi ya Virusi vya ukimwi hapo je inakuwaje

Swali No. 347




JIBU

2. Kufanya mapenzi bila kinga na mtu aliyeathirika ni hatari bila ya kujali upo siku zako ama laa

2. Sio kila aliyeshiriki mapenzi na kuathirika na yeye lazima atapata maambukizi

3. Endapo muathitika ameshaanza kutumia dawa kwa muda wa miezi 6 ama zaidi sio rahisi kuambukiza wengine

4. Kufanya mapenzi na muathirika ukiwa katika siku zako ni hatari zaidi. 

Kama tukio hilo umefanya jana ama leo fika kituo cha afya huwenda ikapewa dawa za dharura



Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 16-02-2023-12:22:34 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp






MASWALI YANAYOFANANA