SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #134 31-01-2023 06:35:09

<p>Asante &nbsp;mimi ningependa kuuliza swali kwamba nimeshiriki tendo la ndoa cku ya 12 adi siku ya 16 &nbsp;but mabadiliko ninayoyaona ni tumbo kujaa ges, kuchoka bila sababu, na tumbo la chini kuniuma kwa sana na leo ni siku ya 11 yani tumbo linavuta mpaka basi</p> <p>Ningependa kujua iyo nayo ni dalili ya mimba changa kwangu ama</p>

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.

Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 134

MASWALI YANAYOFANANA