SWALI

Habari Dr mm nasikia tumbo lote linauma baada ya tendo la ndoa.maumivu ni makali na hupelekea viungo kukosa nguvu.km vile miguu na mikono inakosa nguvu na mwili mzima unakosa nguvu.tafadhari naomba msaada zaidi.

Na pia maumivu hayo huwa sio ya mda mfupi.yanachukua masaa na badae huendelea taratibu chini ya kitovu

Swali No. 424


JIBU
Samahani Jbu la swali hili Limehifadhiwa. Nicheki Whats App upte majibu ya swali hili.
Nicheki WhatsApp Bofya hapa(Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 424 )

Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 21-02-2023-03:53:19 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA