Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nataka kujifunza makala za ulaji wa vyakula
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 317
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Kwamfano umejamiiana na mtu wiki iliyopita unatakiwa ukae kwa muda gan ili ukapime
Naomba unisaidie nashida moja kweny koo nikila pipi au k2 chochote chenye sukar naskia kooo linakaauka itakuwa ni shida ya nn
Mie sijapima Kama Nina mimba lakini nina week moja sasa sipo kawaida nikiamka asubuhi najisikia Kama kichefuchefu lakini sitapiki nahisi natumbo Kama linajaa gas
Habari,naomba kuuliza je katika iyo hali ya kuwa na fangasi ukeni halafu ni mjamzito unweza kutumia dawa zakuweka ukeni kama zile tube au vidonge? Au kunanjia gani tofauti yakuzuia iyo muwasho,majimaji machafu?
Nasikia kukosa nguvu na. Mikono kuishiwa nguvu pia vidole kufa ganzi naema pia kwa nguvu sana
Pilipili hutowa ujauzito