Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Samahan ningependa kujua aina za protin
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 932
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Niliharibikiwa na ujauzito wa week 7 kutokana na kuumwa ambapo nikatumia dawa ambazo sikujua kama Zina effects za kuharibu mimba so nikasafishwa kizazi nikapewa na dawa nikarudi KATIKA Hali yangu kawaida Lakini Leo ni kama siku ya tatu ninahisi maumivu Kwa mbali hasa chini ya kitovu upande wa kushoto au hta nikibinyabinya hiyo sehemu na mkono JE MAUMIVU HAYO YANASABABISHWA NA NINI ?
Ni mkojo tu unauma na nikimaliza kidamu kidogo kinatoka ni mkojo tu
Kutokwa maji yenye harufu na maumivu ya tumbo
Me in mwanaume na miak 18...kunaaa kijibu kdg leoo nimekiona maeneo ya sehemuza siri jeee ni tatizo gan...??? Daktari...
Habar, mimi nina swali je mtu anaweza kufanyiwa operation ya tez dune na ugonjwa ukajirudia tena?
Hi..dalili ya kukohoa zaid ya wk mbili kwa mwenye kifua kikuu husababisha na nn