Swali #793
18-03-2023 16:07:31
<p>Naomba niulize natumia vidonge vya uzazi wa mpango ila nilisahau siku moja lakini sikushiliki siku hiyo nilikuja kushiki siku ijayo lakini nilikuwa nimekumbuka kumeza siku iyo je naweza nikawa na mimba</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 793