Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kifo cha bi khadija kilitokana na nini
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1119
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh. Mimi nna suali kuna mtu kafa alizaa mtoto mmoja mtoto wa kiume kafa kabla ya mama . Baadae mama kafa hana mtoto mwengine ila kuna wajukuu wa mtoto wake huyo mmoja wa kiume aliyekufa na pia kuna dada yake baba mmoja hao tuu ndio waliomzunguka wakaribu wengine ni watoto wa dada zake jee mirathi hapo inakuaje?
Niipi hukmu yamtu mwenye kuacha swala pasi na udhuru wowote?
Nauliza hv unaposwali swala yeyoe kuna dua yake au unaweza soma sura yoyote unayoijua
Kwanin uislam unapinga kampen juu ya kudhibit uzazi
Nahitaji kujua UDUGU ni nini? Faida za udugu na hasara za kuvunja udugu katika uislam
Nashukuru Swali langu ni kuhusu maana. Ya kijakazi atamzaa bibi yake Katika hadithi ya pili kati ya hadithi arobaini zak imamu annawawiy