Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je maneno yakwenye bible ni ya uongo
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 611
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Aslm alykum naombakuuliza,Kam mine ana wake 2 ikitokea mwenyezamu hayupo keep mine anahaki ya kulala kwa Yule asiyekua zamu yake
Asalam alykum nataka kujua inakuwaje hukumu ya mwanamke alotoka nje ya ndoa.na mumewe kamwambia ikitoka nje ya ndoa ndo talaka yako.na akatoka nje ya ndoa.je VP hapo ndoa Bado ipo au ndo talaka tayari ishatoka km mume alivyosema?na je baada ya mwanamke huyo kule
Asalam aleykum swali langu ni hv ni lazima muoge janaba kabla ya swala ya alfajir mkikutana mtu na mke wake katika funga ya ramadhan
Swali saut yangu inakwaruza nina kama miez 2 iv shda n nn?
Naomba kufahamu kunabaadhi y waumini wanaacha swala y faradh wanaswali tarawehe. Je? Hii imekaaje shekh nifafanue
Nina swali sheikh nahitaji msaada wa Elimu.
Nimeingia kwenye mgogoro na Mke wangu asubuhi hii kwa kuwa alikuwa akitamka maneno ambayo mimi sitaki kuyasikia kutoka kwake. Nimemuonya mara ya kwanza hakusikia, nikamuonya tena hakusikia, nikamuonya mara ya tatu kwa kumuambia kwamba *"Ukiniandikia tena Maneno haya basi nitakuwa nimekuacha"*. Naye akayaandika tena? Je, hapa talaka imetoka? Na hukmu yake ni ipi?