Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nilikuwa nauliza kama hujafunga ndoa unaluhusiwa kuswali swala tano
Ndio ni lazima kuswali uwe umeolewa ama bado
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Naomba kuuliza,, mwanamke akitolewa barua ya posa na maari na mwanaume ambae siyo muislam na amemzalisha watoto,akitokea mwanaume wa kiislam akihitaji kumuoa kisheria kidini ya kiislam, je.utaratibu ukoje?
je utakapokula daku ukisikia adhana ya kwanza unatakiwa uwache Kula au umalizie kula mpaka adhana ya pili
NAOMBA USINAIDIE MASHAGANZI ZAKE NA MTUME S,aw WALIKUWA WANGAPI NA MAJINA YAO WALIITWAJE??
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu vp Hali zenu mimi nilikuwa nahitaji kitabu sijajua kinaitwaje ila hicho kitabu kina mal islam kina nguzo za uislamu kina nguzo za lmani
Swali lang naomba kujuwa kufanya biashara ya play station au Games je naingia kwny haramu.
Nataka kufahamu vitabu vya mungu vipo vingapi