Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je nikitaka kutia mwili wangu udhu wa nifasi je naanzia wapi nafanyaje
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1170
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Je kwan maiti ya mtoto ambaye hajabarehe wakike ukimxhonea sanda kama ya mwanamke aliye barehe ni vibaya?
Asalam aleykum shekhe,mgawanyo wa elim dunia na elim akhera haukubalik kwa sababu zipi zingine
Asalam aleyikum warahmatullah wabarakatuh swali langu ni hivi mimi nimeolewa miaka 8 iyopita ila mwaka juzi mwezi12 Allah akanitahin nimepatatihani wa maradhi ya ganzi yamepelekea kutokutembea mama zamani,mume wangu ameniuguza mpaka mwezi wa 7 mwaka jana akanitelekeza yani aniudumii mimi wala mtoto na nikimpigia simu anaongea hovyo tu nimeamua kumdai talaka ataki kunipa lakini hivi karibuni ameniatamkia maneno Machafu kua ataki kunipa talaka kwakua ajawahi kunioa na ajanopenda hata siku1 mimi nikampiga mshenga na shahidi nao wakajaribu kizungumza nae akawakatia Simu swalilngu je,naweza kujivua kwenye ndoa hii?au nifanyeje mpaka nipate haki yangu ya talaka
Asalam alkum mimi nimepewa talaka tatu pasipo na shahidi yoyote je hapo talaka amenipa kwa usahihi?
Swali langu ni... Tunafahamu kuwa mtu anapotaka kuoa,lazima awe na mashahidi wke wawili. Sa nauliza hawa mashahidi inaruhusika mtu kueka brother wake ama ni awe mtu mwenye hawahusiani naye...?
Zakat ili uanze kutoa inatakiwa uwe na kuanzia Kiasi gani cha pesa