SWALI:
Jana alikuja alielua mume wangu akawaambia watu kua nimemuacha s mke wangu je nataka kujua ikiwa ni lazima akicha kue na mshahid wa kweli je hapo talaka imepita na kama imepita anafaa kunipa karatas au haifai
Swali No. 552
JIBU
Talaka inaswihi hata kama hakuna mashahidi.
Pia talaka inaswihibkwa matamshi ama kwa karatasi ama kwa kuashiria endapo hawezi kutamka.
Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 28-02-2023-05:57:10 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nicheki Nicheki WhatsApp