SWALI

Asante sana na swala ya saa nane usik ina laka ngapi

Swali No. 408
JIBU

Swala zote za usiku unaanza na rakaa 2 na utaendelea kulingana na utakavyotaka. 


Ila kumbuka malipo ya swala za usiku yanategemea na urefu wa kisimamao,  rukuu na sijida na sio wingi wa rakaa. Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 19-02-2023-13:50:07 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA