Pata jibu kamili kuhusu swali lako
je ni dua ipi imependekezwa zaidi katika swala hii ya tahajjud
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1060
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mana kunamtu ameniambia kua maiti anamashid sijamuelewa ndoman nimewauliza nyie kama wapo niwajue
Je Kama mtu hajawa na uwezo wakulipa hiyo zakatuli fitri swaumu yake haitopokelewa?
Nina swali kwenye swala ya msafiri uyu mtu anasafiri uelekeo tofauti na kibla ataswali ivyoivyo
Nauliza vipi kuhusu nyiradi za wakati wa kuswali taraweh kunawengine wanasema na wengine hawasomi nataka nielewe apo
Mm nauliza sual kwann baada ya mtume Muhammad hakuletwa mtume mwengine
Asalam alykum warahmatullah ,Je zakat al fitr yafaa kuwatolea wote unaoishi nao ama waliofunga pekee?