Pata jibu kamili kuhusu swali lako
lengo la qur-an ni lipi?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 969
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Asalam alykum nataka kujua inakuwaje hukumu ya mwanamke alotoka nje ya ndoa.na mumewe kamwambia ikitoka nje ya ndoa ndo talaka yako.na akatoka nje ya ndoa.je VP hapo ndoa Bado ipo au ndo talaka tayari ishatoka km mume alivyosema?na je baada ya mwanamke huyo kule
Naitaji mwalimu video lamda Kwa uelewa zaidi juu ya sanda ya mwanamume na mwanamke
Uislamu wakati wa makhalifa ulipata changamoto nyingi sana ambazo zilipelekea kuwatia khofu waislamu wanafikiria mambo gani yaliopelekea kuondosja changamoto izo
Assalamualaikum naomba kuhuliza kula kitu ambacho kimechinjwa na mtu anae kunywa pombe ni sawa
Je kama mwanangu ananitolea zakat fitri na Mimi itanilazimu tena kujitolea mwenyewe?
Neno kusai lina maana gani katika hijja?