Mambo yanayoweza kutoa udhu wako

Post hii itakufundisha mambo ambayo yanabatilisha udhu.

Udhu unaweza kuharibika kwa sababu ya Moja kati ya mambo yafuatayo:-

  1. Kutokwa na upepo (kujamba)
  2. Kulala ulalaji usio wa kukaa
  3. Kutokwa na haja ndogo (mkojo)
  4. Kutokwa na haja kubwa au ndogo
  5. Kuzimia
  6. Kutokwa na hedhi
  7. Kutokwa na madii
  8. Kutokwa na madii
  9. Kutokwa na akili kwa kulewa ama maradhi
  10. Kutokwa na damu ya ugonjwa.

 

 

 

 

 

 

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Fiqh Main: Dini File: Download PDF Views 1612

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani    👉2 kitabu cha Simulizi    👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉5 Dua za Mitume na Manabii    👉6 web hosting   

Post zinazofanana: