Mafunzo Yatokanayo na Historia ya Nabii Lut (a.s)

(i) Tujitahidi kwa kadiri ya uwezo wetu kuondoa maovu katika jamii kwa mikono yetu na ikiwa hatuwezi tuyakemee kama alivyofanya Nabii Lut(a.

Mafunzo Yatokanayo na Historia ya Nabii Lut (a.s)

Mafunzo Yatokanayo na Historia ya Nabii Lut (a.s)

Kutokana na historia ya Nabii Lut(a.s) tunajifunza yafuatayo:

(i) Tujitahidi kwa kadiri ya uwezo wetu kuondoa maovu katika jamii kwa mikono yetu na ikiwa hatuwezi tuyakemee kama alivyofanya Nabii Lut(a.s) na waumini aliokuwa nao.



(ii) Tusichelee watu katika kukemea maovu.



(iii) Kila mtu atahesabiwa na kulipwa kulingana na amali zake.
Hatafaidika mtu kwa amali njema za mwingine na wala hataadhibiwa mtu kwa matendo mabaya ya mwingine.



(iv) Tumuogope Allah(s.w), kwani adhabu yake ni kali na hakuna awezaye kujinusuru nayo inapokuja.



(v) Tujitahidi kusimamaisha Uislamu kwa mali na nafsi zetu bila ya kumchelea yeyote.



(vi) Hatma ya mapambano dhidi ya makafiri ni Waislamu kuibuka washindi.





                   

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass

Nyuma Endelea


Je umeipenda post hii ?

Ndio            Hapana            Save post
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Sira Main: Dini File: Download PDF Views 1282

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya    👉2 Kitau cha Fiqh    👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉4 Simulizi za Hadithi Audio    👉5 kitabu cha Simulizi    👉6 Madrasa kiganjani   

Post zinazofanana: