image

darasa la lishe

Jifunze mengi kuhusu afya na lishe, ujuwe utaratibu wa lishe

darasa la lishe

1.VYAKULA VYA KUPAMBANA NA SARATANI

Kansa ni katika magonjwa yanayosumbuwa kwa kiasi kikubwa leo duniani. Kansa huweza kusababishwa na vitu mbalimbali ikiwemo uvutaji wa sigara kwa 31%, vyakula kwa 37%, pombe kwa 3% na nyingine nyingi. Katika sababu hizi vyakula huchukuwa nafasi kubwa katika kusababisha kansa.

Mwaka 2015 watu milioni 90.5 waligungulika kuwa na kansa. Inakadiriwa kuwa kila mwaka takribani watu milioni 14.1 wanaupata kansa kila mwaka. Watu milioni 15.7 walikufa na kansa ambayo ni sawa na asilimia 15.7% ya vifo vyote mwaka huo.

1. VITUNGUU SAUMU ( GARLIC) Hivi vina kiasi kikubwa cha madini ya salfa (sulphur compounds) ambayo husaidia kuimarisha mfumo wa afya mwilini (immune system) Pia wanasayansi wanafahamu kuwa kitunguu thaumu kinasaidia katika kupunguza uwezekano wa kupata kansa ya tumbo.

2. Samaki Tafiti za kisayansi zilizofanyika Australia zimegunduwa kuwa ulaji wa samaki mara 4 au zaidi humuepusha mtu na kansa ya damu ( blood cancers leukemia, myekoma, and non- Hodgkin’s lymphoma). Samaki wanaoshauriwa zaidi ni wale wenye mafuta kwa wingi kama salmon.

Kama ilivyoosheshwa kuwa mpangilio mbovu wa vyakula na uvutaji wa sigara huchangia kwa kiasi kikubwa kupata kansa, leo tutakuletea baadhi ya vykula ambavyo vinasadikika kupambana na kansa. Vyakila hivi huweza kuzuia seli za kansa kutengenezwa ndani ya mwili na kutowa msaada wa kupambana na zo . Vipo vyakula vingi tuu lakini kwa uchache tunakuletea hivi kwa leo;-

3. Apple (maepo) Matunda haya yanafahamika kwa uwezo wake mkubwa wa kuuwa seli za kansa. Tafiti za kisayansi zilizofanywa nchini Ujerumani zinathibitisha uwepo wa procyanidins ambayo hufahamika kudhibiti seli za kansa kutengenezwa ndani ya mwili.

4. Avocado (palachichi) Matunda haya pia husaidia kwa kiwango kikubwa kupambana na seli za kansa. Fat iliyoko kwenye matunda haya huweza kusaidia kwa iwango kikubwa kupambana na kansa.

5. Kabichi ( cabbage) Kabichi hujulikana kwa kuwa na bioflavonoids kemikali ambazo hupambana na seli za kansa. Kabichi kusaidia kupambana na kansa ya tumbo kansa ya matiti na aina zingine za kansa.

6. Karoti ( carrots) Karoti zina alpha-carotene na bioflavonoids ambazo husaidia katika kupambana na seli za kansa. Karoti huweza kupambana hasa na kansa ya ini. Wanasayansi pia wanatahadharisha matumizi ya karoti kwa kiasi kikubwa kwa mtu anayevuta sigara.

7.Tende Tende hujulikana kuwa na polyphenols ambazo husaidia kupambana na kansa kwa kiwango kikubwa. Vitamin B12 na fiber katika tende husaidi kwa kuiwango kupambana na aina mbalimbali za kansa.

8. Mayai yana vitamin D kwa kiwango kukubwa. Vitamin hivi pia hufahamika kwa uwezo wake wa kupambana na seli za kansa.

9. Tangawizi

10. Komamanga

11. njegere MWISHO Tungependa kutoa ushauri kwa dada na ndugu hao ambao huvuta na kunywa pombe kwamba haya yote yana kemikali ambazo zinajulikana kwa kuwa na uwezo wa kusababisha kansa. Kwa hivyo wanapaswa kuchukua maandalizi kabla hali inakuwa mbaya zaidi katika afya yao.


                   





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Jifunze Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2903


Sponsored links
πŸ‘‰1 kitabu cha Simulizi     πŸ‘‰2 Kitabu cha Afya     πŸ‘‰3 Simulizi za Hadithi Audio     πŸ‘‰4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     πŸ‘‰5 Kitau cha Fiqh     πŸ‘‰6 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

KITABU CHA MATUNDA
Jifunze sifa na aina za matunda, vijuwe viruturubisho Soma Zaidi...

SHUGHULI ZA KILA SIKU
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

MAAJABU YA MBU
7. Soma Zaidi...

NYANJA ZA AFYA
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

NIJUZE KUHUSU AFYA
Soma Zaidi...

Jinsi ya kumsaidia Mtoto mdogo aliyekabwa na kitu kooni
Mfano wa kitu kinachoweza kumaba mtoto kooni ni kama chagula kigumu, pesa ya sarafu, kijiwe na mengineyo. Endapo hili litataokea msaada wa haraka unahitajika kwa ulazima. Soma Zaidi...

VIJUE VITAMINI, CHAZNO CHAKE, NA KAZI ZA VITAMINI MWILINI
Soma Zaidi...

dondoo za afya
Basi tambua haya;- 1. Soma Zaidi...

MINYOO NA HATARI YEKE KWA AFYA: kuwashwa matako, kupungua uzito, kukosa hamu ya kula, kupungua damu
MINYOO NA HATARI YEKE KWA AFYA Utangulizi Karibu tena kwenye makala zetu za afya. Soma Zaidi...

MAWAKALA WA MARADHI
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

Dondoo za afya 1-20
Somo Hili linakwenda kukuletea dondoo mbalimbali za afya Soma Zaidi...

kitabu cha kanuni 100 za afya
Zijue kanuni 100 za afya ambazo watu wengi hawazijui. Laiti wangelizijua kwa hakika wangefaidika sana. Soma Zaidi...