Utangulizi
Karibu kwenye ukurasa huu wa utaratibu wa lishe. katika ukurasa huu utaweza kujifyna mambo kadhaa ambayo ni muhimu kuyajua ili kuweza kupamba na na matatizo yanayotokana na mpangilio mbovu wa lishe.

Pia ijulikane luwa mwendelezo wa somo hili utapatikana kwenye kitabu chetu cha afya ambacho utaweza kukidownloada kwenye link hapo pembeni, Somo hili tumeligawa katika sehemu kadhaa ili kuwezesha wasomaji kuwapa wepesi zaidi.