Tafsiri na mafunzo ya sura zilizochaguliwa - Saratul-fiyl

Tafsiri na mafunzo ya sura zilizochaguliwa - Saratul-fiyl

Quran (EDK form 3:dhana ya elimu ya uislamu)

6.2. Tafsiri na Mafunzo ya Sura Zilizochaguliwa.

Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu.

  1. Jee, huoni jinsi Mola wako alivyowafanya watu wa ndovu (tembo)?
  2. Jee, hakujaalia vitimbi vyao kuharibika?
  3. Na akawapelekea ndege makundi kwa makundi.
  4. Wakawapiga kwa vijiwe vya udongo wa motoni.
  5. Akawafanya kama majani yaliyoliwa (na kutemwa).

 

Mafunzo kwa Ufupi.

  1. Mwenyezi Mungu (s.w) ni Muweza wa kila kitu.
  2. Viumbe vyote viko katika Milki ya Mwenyezi Mungu (s.w) na ni Majeshi yake yaliyotayari kumtumikia ipasavyo.
  3. Nusura na Msaada wa Mwenyezi Mungu (s.w) hupatikana muda wowote watu watakapomuamini na kumtegemea ipasavyo.
  4. Kuangamizwa kwa Abraha na jeshi lake na Jeshi asilolijua wala kulitegemea ni dalili ya Kuwepo Mwenyezi Mungu (s.w).

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Quran Main: Post File: Download PDF Views: 3868

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Dua za Mitume na Manabii     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 web hosting     👉5 ai web app     👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    

Post zinazofanana:

Fadhila za kusoma surat al Baqarah

Surat al Baqarah ni katika sura ambazo tunapaswa tuwe tunasoma mara kwa mara. Post hii itakufundisha kuhusu fadhila za sura hii.

Soma Zaidi...
HUKUMU ZA TAFKHIIM NA TARQIQ

Jifunze namna ya kusoma quran, pata mafunzo ya tajwid hapa

Soma Zaidi...
Uthibitisho kuwa Qur-an ni neno la Allah (s.w)

Uthibitisho kuwa Qur-an ni neno la Allah (s.

Soma Zaidi...