Malaria husababishwa na vijidudu vidogo parasite wanaojulikana kama plasmodium. Vijidudu hivi hubebwa na mbu aina ya anophelesi. Kuna ina nyingi za plasmodium lakini aina 5 tu ndizo husababisha malaria
DALILI ZA MALARIA
Malaria ni oja kati ya magonjwa yanayosumbuwa sana maeneo yenye joto. Malaria husababisha maelfu ya watu kupoteza maisha duniani kila mwaka. Ni mbu mmoja tu ndiye anayeweza kuambukiza malari, mbu huyu ni aina ya Anopheles. Malaria kama ikichelewa kutibiwa inaweza kuathiri ubongo, ini na viungo vinginevyo na hatimaye kusababisha kifo.
Dalili za malaria
Mara nyingii dalili za malaria hutokea kati ya siku 7 mapaka 18 toka kuambukizwa.
Nini chanzo cha malaria
Malaria husababishwa na vijidudu vidogo parasite wanaojulikana kama plasmodium. Vijidudu hivi hubebwa na mbu aina ya anophelesi. Kuna ina nyingi za plasmodium lakini aina 5 tu ndizo husababisha malaria. Mbu anayeeneza malaeia hung’ata wakati wa kiza kinene. Sasa wakatu mbu ambaye na vimelea hivi yaani plasmodium aking;ata mtu vimelea hivi humuingia huyo mtu na kuanza kuzaliana ndani ya huyo mtu na baadaye kupata malaria.
Viungo vunavyoathiriwa na malaria.
Kama tulivyoona hapo mwanzo kuwa malaria inaweza kuathiri viungo mbalimbali. Na kama haita tibiwa inaweza kusababisha kifo. Sasa hebu tuone viungo hivyo:-
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu watu walio hatarini kupata gonorrhea gonoria
Soma Zaidi...Tetekuwanga (varisela) ni maambukizi ya virusi ambayo husababisha kuwasha, upele kama vile malengelenge. Tetekuwanga huambukiza sana watu ambao hawajapata ugonjwa huo wala kupewa chanjo dhidi yake. Kabla ya chanjo ya kawaida ya tetekuwanga, karibu watu
Soma Zaidi...Post hii itakwenda kuzungumzia ugonjwa wa gout unaosababishwa na ongezeko la asidi mwilini.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea dalili za fangasi wa sehemu za Siri kwa wanawake
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za kujikinga na magonjwa, kwa kawaida tunajua wazi kuwa magonjwa yapo na yanasambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na mengine hayasambai yanaweza kumpata mtu mmoja akapona au magonjwa mengine si ya kupona
Soma Zaidi...Bipolar disorder ni hali ya afya ya akili inayohusisha mabadiliko makubwa katika hisia, nishati, na shughuli za kila siku za mtu. Dalili za bipolar disorder zinaweza kuwa kwenye kipindi cha mania na kipindi cha unyogovu, zifuatazo ni dalili za ugonjwa wa bipolar.
Soma Zaidi...Jifunze dalili za gonorrhea na namna inavyoambukiza, zipi athari za gonori kwa wanawae na wanaume
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za maumivu ya jino
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa fungusi uken, ni ugonjwa unaoshambulia sana sehemu za Siri ambao huwa na dalili kama zifuatazo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kupambana na saratani
Soma Zaidi...