Zoezi 2:2
1.Malaika ni
2.Toa tofauti nne (4) zilizopo kati ya Malaika na binaadamu.
3.Orodhesha kazi kumi (10) za malaika zenye mahusiano na bin a adam u.
4.Muumini wa kweli wa Malaika ni yule anayefanya yafuatayo:-(a) (b) (c) (d)
5.Taja vitabu vinne (4) vya Allah (s.w) vilivyohadithiwa katika Qur-an na Mitume walioshushiwa.
6.Len go la kushushwa vitabu vya Allah (s.w) ni
7.“Hakika ni juu yetu kutoa mwongozo.” (92:12) Pamoja na binaadamu kupewa akili na elimu hana uwezo wa kujiundia njia sahihi ya maisha kwa sababu zifuatazo:
(a)
(a)
(b)8.Toa tofauti nne (4) zilizopo kati ya Qur-an na vitabu vingine vya Allah (s.w).
9.Muumini wa kweli wa Qur-an ni yule anayefanya yafuatayo:
(a)
(b)10.(a) Mitume wa Allah (s.w) ni
(b) Mitume wameletwa ili
(c)Waumini wa kweli wa Mitume wa Allah (s.w) ni wale wenye tabia zifuatayo:
(i)
(ii)
(iii)
(iv)