(ix)Wenye kuhifadhi swala


Waumini wa kweli waliofuzu huhifadhi swala kwa kutekeleza kwa ukamilifu shuruti zote za swala nguzo zote za swala na huswali kama alivyoswali Mtume (s.a.w) na hudumu naswala katika maisha yao yote: Rejea Qur-an (70:23)