HADITHI YA 03

عَنْ أَبِي عَبْدِ الرَّحْمَنِ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ عُمَرَ بْنِ الْخَطَّابِ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا قَالَ: سَمِعْت رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم يَقُولُ: " بُنِيَ الْإِسْلَامُ عَلَى خَمْسٍ: شَهَادَةِ أَنْ لَا إلَهَ إلَّا اللَّهُ وَأَنَّ مُحَمَّدًا رَسُولُ اللَّهِ، وَإِقَامِ الصَّلَاةِ، وَإِيتَاءِ الزَّكَاةِ، وَحَجِّ الْبَيْتِ، وَصَوْمِ رَمَضَانَ".
[رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ]، [وَمُسْلِمٌ

Kwa mapokezi ya Abdullah, mtoto wa Umar ibn al-Khattab (ra), ambaye alisema:

Nilimsikia Mjumbe wa Allaah ((s.a.w)) akisema, "Uislamu umejengwa juu ya [nguzo] tano: nikushuhudia kwamba hakuna mungu anayestahili kuabudiwa isipokuwa Allaah na kwamba Muhammad ni Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, kusimamisha salah (sala), kulipa. zakat, kufanya hajja (Hija) kwenye nymba ya Allah, na kufunga mwezi wa Ramadhan. " [Bukhari & Muslim]