Matumizi ya OCR katika simu yako
Somo Hili linakuleteq mafunzo ya OCR katika simu yako
JIFUNZE MATUIZI YA OCR KATIKA SIMU YAKO
OCR nifupisho cha optical character recognition. Ni mchakato wa kubadilisha picha ya maandishi au maandishi yaliyoandikwa kwenye picha kuwa maandishi ya kawaida ambayo unaweza ukayahaisha kwengine kama kukopi.
Tokeo la picha la OCRYaani kwa mfano umetumiwa picha ambayo ina maandishi na unataka kuyakopi maandishi hayo ukayapest kwengine hivyo mfumo huu unatumia OCR. Kwa mfano katika picha hii hapa tunataka kuchukuwa hayo maneno ili tukayapest kwenye text za kawaida. Au kwa mfano umetumiwa picha iloandikwa ujumbe mzuuri na ukataka kumtumia mtu kwa text za kawaida hivyo hakuna haja ya kusumbuka kuiandika tena kwa vidole vyako hivyo tumia OCR ili uweze kuipest text yako. sasa hebu tuone jinsi ya kufanya mchakato huu...... nitaonesha kwa hatua namna ambavyo tutakavyoibadilisha picha hiyo hapo chini kuwa text za kawaida kwa kutumia simu zetu.
1. Kwa nza unatakiwa uwe na application ya kuweza kubadilisha picha ya maandishi kuwa maandishi. Twende play kisha ukadaunlod application iitwayo TEXT FAIRY (OCR SCANNER)
2. Ifunguwe kisha uchaguwe picha yako unayotaka kuikopi maneno yake angalia video hapo chini.
3. Ikisha aliza kuichakata picha yako itakuletea text utaweza kuzikopi au kuzitengezea PDF. Pia kuna kipengele cha kuchaguwa lunga kulingana na picha yako
Huduma hii pia inapatikana kwa kutumia kompyuta abapo unaweza kubadilisha hard copy zilizoskaniwa na kuzifanya ziwe soft copy.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 ai web app 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 web hosting 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
Kurudisha mafaili na data zilizopotea
Posti hii inakwenda kukupa elimu ya kurudisha mafaili na data zilizopotea
Soma Zaidi...Sababu za simu kusumbua mtandao
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu sabau za simu kusumbua mtandao
Soma Zaidi...NINI HATMA YA FACEBOOK BAADA YA KUFA KWAKO? nini kitatokea kwenye akaunti yako ya fesibuku (facebook)
Facebook hawana mpango wa kufunga akaunti ambazo hazijatumiwa kwa muda mrefu, haijalishi akaunti ni ya marehemu ama yupo hai.
Soma Zaidi...Jinsi ya kufanya simu yako iwe fasta
Posti hii inakwenda kukuelekeza njia za kufanya simu yako iwe fasta
Soma Zaidi...OCR
Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..
Soma Zaidi...