18.
18.Shilingi
Juma alikuwa na glasi mbili za maji. Sikumoja akaweka maji kwenye glass hizo kisha akachimua sarafu mbili za shilingi miamoja. Akaingiza moja kwenye glass ikazama chini. Kisha akaingiza nyingine kwenye glass ya pili lakini haikuzama.
Juma alishangaa sana, lakini baada ya muda akaikuta imezama. Unadhani nini kimetokea kwenye glasi hii ya pili?
Jibu
Ni kwa sababu maji katika glasi ya pili yalikuwa yameganda.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?