Chemsha bongo 20

imageimage
17.John na Ngazi
John alikuwa akifanya kazi ya kupandisha mizigo juu. Alikuwa akkipanda kwa kutumia ngazi yenye urefu wa futi 24. Siku moja mvua ilinyesha hivyo ikawa ngazi inateleza sana.

Wakati anapanda kwa bahati mbaya akaanguka kutoka kwenye ngazi mpaka chini. Jambo la kushangaza hakuumia hata kidogo. Unadhani hii imewezekanaje?

Jibu
Ni kwa sababu alianguka kwenye kidato cha kwanza cha ngazi, naani chini kabisa.